Je wewe ni kijana mjasiriamali na mbunifu?Au unamiliki kiwanda kidogo cha uzalishaji bidhaa katika mkoa wa Arusha na maeneo jirani ya mkoa huo?Je unapenda kuonyesha kazi yako?


Fursa ya kipekee iliyoandaliwa na shilika la Okoa New Generation wakishirikiana na SIDO,DSW,TAHA ,Twende pamoja na Vision for Youth,
Wameandaa maonesho ya kijasiriamali na ubunifu yatakayo fanyika KITUO CHA DALADALA IMPALA kwenye viwanja vya peace park mkabala na round about ya kijenge siku mbili mfululizo yaani tarehe 11 na 12 Disemba 2020 .
Tamsha hilo litahusisha wajasiriamali wote bila kubagua wakubwa na wadogo
Jaza nafasi zilizo achwa wazi ili ujisajili na kuwekwa kwenye orodha ya ushiriki kabla ya tarehe 03 ya mwezi wa 12.

Kauli mbiu

"Wameandaa maonesho ya kijasiriamali na ubunifu yatakayo fanyika KITUO CHA DALADALA IMPALA kwenye viwanja vya peace park mkabala na round about ya kijenge siku mbili mfululizo yaani tarehe 11 na 12 Disemba 2020 ."

Fomu Ya Kushiriki Maonyesho

    Aina ya BiasharaUsindikajiKuchakataToa hudumaNyingine
    Lengo La UshirikiKujifunzaKupata masokoKujitanangazaUshindani
    Baada ya kujisajili utapokea ujumbe wa kuthibitisha ushiriki wako .

    DONATE / PARTNER