Tuzo ya Miss Agricuture Tanzania Award (MATA)2024 ni tuzo inayolenga kumtambua msichana au mwanamke anayefanya vizuri kwenye sekta ya kilimo ilikukuza ushiriki na ubunifu wa wanawake na wasichana katika kilimo. (MATA) inalenga kutambua, kuhamasisha, kuelimisha na kupinga dhana potofu na kuonesha nafasi muhimu ya wanawake na wasichana katika sekta ya kilimo. Okoa New Generation (ONG) kwa ushirikiano na serikali na wadau wengine wa kilimo nchini Tanzania, tunakualika ujaze fomu yako ya usajili kabla ya tarehe 25 February 2024.
Mwisho wa kujisajili kwa washiriki : 25/02/2024
Uzinduzi wa Tukio: 01/03/2024
Siku ya Mashindano: 15/05/2024
Eneo: AICC - Arusha
Okoa
New Generation
15Rd Njiro, Next to Compassion Offices
Arusha,Tanzania
East Africa
Click for Directions
monday - friday
8 am - 5 pm
Call us:
+255 654 343 834
or write:
info@okoanewgeneration.or.tz